Adverts

Feb 25, 2011

Rais Kikwete ashiriki mazishi ya Kada wa Chama Mzee Juma Singano,jijini Dar es Salaam.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la kada wa Chama Cha Mapinduzi marehemu Mzee Juma Singano wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo mchana.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu wa CCM Yusuf Makamba wakishiki kumuombea kada wa CCM Marehemu Juma Singano wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo mchana.(Picha na Freddy Maro).
"