Adverts

Feb 8, 2011

Namna ya kutuma mafaili kati ya kompyuta mbili bila kutumia flashi

Namna ya kutuma mafaili kati ya kompyuta mbili bila kutumia flashi: "

Chukua mfano una kompyuta mbili ambapo moja ina mafaili mengi,na unataka kuhamisha kwenda nyingine.NiJe utatumia njia gani? Kuna watakaokimbilia kuchukua flashi na kuna wengine wataamua kutumia CD, lakini sasa kama hauna hivyo vifaa au mafaili ni makubwa kuliko uwezo wa hivyo vifaa,je utafanyaje? Utakaa chini na kuanza kutafakari au utaamua kuachana nazo na kuendelea na mambo yako au utaanza kutafuta namba za simu za mtu wa IT ili aje kukupa msaada?

Kama ilivyo kawaida yetu,AfroIT wazee wa Mididi tunakuja na suluhisho la tatizo,hakuna haja ya kuhangaika.Kiufupi ni kuwa kila kompyuta ina uwezo wa kuwasiliana na mwenzake moja kwa moja kwa kutumia waya maarum unaoitwa ”cross over”.

TukiingiaRead more

"