Adverts

Feb 8, 2011

Ufahamu na njia za kujikinga na spam

Ufahamu na njia za kujikinga na spam: "

Taarifa au kumbukumbu ni kitu muhimu katika maisha ya mwanadamu,ila kumbukumbu zinapozidi au kuja bila mpangilio au makubaliano basi hubadilika na kuwa kero.Katika ulimwengu wa teknolojia

ya mawasiliano,kero kubwa ambayo wengi wetu tumekuwa tukipambana nayo ni upokeaji au uchujaji wa taarifa zisizo za lazima.Mfano mzuri ni pale unapofungua barua pepe na kukuta mamia ya barua

pepe zikihitaji kusomwa huku kila moja ikiwa na kichwa cha habari kinachovutia.

Barua hizi kuna zile zenye umuhimu,vilevile kuna ambazo hazina umuhimu kwani zimetumwa kwa ajili ya matangazo(spam),leo tutangalia kundi hili chafu na linalokera la barua pepe za matangazo.

Spam ni kitu gani?

Spam ni… Read more

"