Adverts

Feb 12, 2011

Neno La Leo: Hizi Ni Zama Za Mabadiliko

Neno La Leo: Hizi Ni Zama Za Mabadiliko: " Ndugu Zangu, Viongozi Afrika wanapaswa kutambua sasa, kuwa Mwafrika wa mwaka 1975 si Mwafrika wa mwaka 2011. Waafrika wameamka. Viongozi Afrika wana lazima ya kuendana na mabadiliko ya wakati. Hizi ni zama za mabadiliko. Na Mabadiliko ya amani Afrika yanawezekana, mwenye kuyazuia mabadiliko ya amani, atambue, kuwa mabadiliko yenye vurugu hayaepukiki. Hilo la mwisho lina hasara kubwa. Mungu Ibariki Afrika. Maggid Iringa, Jumamosi, Februari 12, 2011
"