Adverts

Feb 12, 2011

Bungeni Dodoma Leo.....

Bungeni Dodoma Leo.....: " 1.Waziri wa Sheria na Katiba Celina Kombaine akiongea na Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Shamsi Vuai Nahodha leo Bungeni. 2.Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na Madini January Makamba akizungumza na waandishi kuhusu mipango ya kamati yake 3.Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano na Waziri Mkuchika leo
"