Adverts

Feb 12, 2011

Hawavumi lakini wamo

Hawavumi lakini wamo: "

Mushi mkubwa (kushoto) na Mushi mdogo upande wa kulia, wakionyesha uhodari wao kusakata twist

Kutoka kwa mdau Joseph Mwaisango, hapa nimekutana na picha ya watani zangu wawili, mtu na mdogo wake, ambao jijini Mbeya na hususan maeneo ya Uhindini hujulikana zaidi kwa majina ya Mushi mdogo na Mushi mkubwa. Hapa walikuwa wakionyesha uhodari (au sijui ni mashindano) ya kusakata muziki aina ya Twisti.

Aisee Mangi, mbege ipo hapo?

"