Adverts

Feb 12, 2011

Lindsey Lohan kwenda tena jela?

Lindsey Lohan kwenda tena jela?: "

Lindsey Lohan kwenda tena mahakamani kwa kosa la kuiba kito cha samani, je ni nini matatizo ya Lindsey na safari hii atakwenda tena jela au atapona ? Dada huyu mcheza sinema baada ya kuonekana kweny mkanda wa usalama wa duka moja maadufu huko LA kuchukua kito hicho alipewa siku kukirudisha .

Hatimaye alimtuma msaidizi kufanya hivyo na kudai kuwa hana kesi ya kujibu kwa kuwa alirudisha na vitu hivyo eti huazimwa na kurudishwa madukani sasa anaulizwa hiyo ndiyo staili ya kuazima dukani bila hata kuandikisha jina lako?

"