Adverts

Feb 7, 2011

News Alert: Kumekucha mbeya: Teku wagoma- ffu wapiga mabomu na kuchukua baadhi yao

News Alert: Kumekucha mbeya: Teku wagoma- ffu wapiga mabomu na kuchukua baadhi yao: "
Wimbi la migomo na maandamano sasa limetua Mbeya. Wanafunzi wa Chuo cha Teofilo Kisanji (TEKU) jioni hii wamegoma na kuandamana katika maeneo ya Chuo chao hali ilyowaklazimisha wazee wa Intelijensia kuwazima maandamano hayo kwa maboumu na hatimaye kuwachukua baadhi yao hadi kwenye kituo cha polisi central kwa mahojiano zaidi. Madai ya wanafunzi waChuo hicho kilichopo eneo la Block T Soweto hapa Mbeya ni kucheleweshwa kwa boom na kutaka Mwalimu mmoja jina nalihifadhi kwa sasa aondolewe chuoni hapo. My take: Haya mabomu ya polisi mwaka huu yataigharimu sana serikali labda kama ni costless.
"