Adverts

Feb 4, 2011

NI LEO CHUO CHA USTAWI WA JAMII.

NI LEO CHUO CHA USTAWI WA JAMII.: "
Hii ndiyo hali hbalisi niliyoikuta pale chuo cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama kama unavyoona magari ya FFU yako tayari katika eneo hilo kutokana na migomo ya wanafuzi wa Chuo Kukuu cha Dar es salaam na Ustawi wa Jamii hii leo jijini Dar es salaam wanaodai fedha za mikopo, hata hivyo nilipofika katika eneo hilo hali kwa kiwango kikubwa ilikuwa shwari ila kulikuwa na baadhi ya wanafunzi wakiwa wamesimama katika lango kuu la kuingilia chuoni hapo.
Baadhi ya wanafunzi katika chuo cha Ustawi wa mJamii wakiwa wamesimama katika lango kuu la kuingilia katika chuo hicho leo baada ya vurumai kutulizwa katika eneo la chuo hicho.
"