Adverts

Feb 9, 2011

Njiwa Mweupe

Njiwa Mweupe: "
Njiwa mweupe anatumiwa kwenye alama mbali mbali. Wakristo wanatumia njia mweupe kama alama ya Roho Mtakatifu, ldara ya usalama wa Taifa alama yao ni njiwa mweupe, na pia waganga wa kienyeji wanataka njiwa mweupe. Je kwanini atakiwe njiwa mweupe tu na si wa rangi nyingine? Nini siri ya njiwa mweupe?
"