Adverts

Feb 4, 2011

RAH P AJIFUNGUA MTOTO WAKE 2 NCHINI MAREKANI!

RAH P AJIFUNGUA MTOTO WAKE 2 NCHINI MAREKANI!: "
FREDINAH PEYTON AKA RAH P

Hip Hop artist ambaye amepotea kitambo toka Tanzania,Fredinah Peyton aka ‘RAH P’ ambaye anaishi nchini Marekani,anadaiwa kujifungua mtoto wa kiume hivi karibuni. Rah P alitamba sana na track yake ya Hayakuhusu,alijifungua mtoto huyo mwishoni mwa mwaka jana,Dec 16 huko mjini Houston Texas anapoishi hivyo kumfanya kuwa na watoto wawili. Rah P alisema kwa sasa hivi yeye ni mama,ukiniona ugumu wote umeisha na kufanya mziki kwa sasa amepumzika kidogo ila fans wake wategemee ujio mwingine kutoka kwake kwani sasa najikita kwenye ku act!

"