Adverts

Feb 4, 2011

WAMACHINGA WA KICHINA KUANZA KUKAMATWA KESHO

WAMACHINGA WA KICHINA KUANZA KUKAMATWA KESHO: "Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Cyril Chami Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Cyril Chami (kushoto) akitoa tamko la kukamatwa kwa wafanyabiashara wa kigeni wanaofanya kinyume na sheria katika eneo la Kariakoo Dar es salaam jana kazi hiyo ya kuwakamata inanza leo kulia na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Bw. Lazaro Nyalandu
"