Adverts

Feb 9, 2011

Rais Kikwete Akutana Na Bwana Johnnie Carson,Naibu Waziri Wa Nchi Marekani Anayeshugulikia Masuala Ya Afrika

Rais Kikwete Akutana Na Bwana Johnnie Carson,Naibu Waziri Wa Nchi Marekani Anayeshugulikia Masuala Ya Afrika: " Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Naibu Waziri wa Nchi wa Marekani anyeshughulikia masuala ya Afrika Bwana Johnnie Carson,ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana(Picha:Freddy Maro).
"