Adverts

Feb 12, 2011

RICKY MARTIN KUPATA TUZO YA USHOGA

RICKY MARTIN KUPATA TUZO YA USHOGA: "
Nyota wa muziki wa Pop Ulimwenguni RICKY MARTIN anatarajia kupokea tuzo ya VUTO RUSSO kutoka kwa shirika kubwa la Mashoga na Wasagaji la nchini Marekani baada ya kutamka hadharani mwaka jana kuwa yeye ni shoga.Tuzo hiyo hutolewa kwa wasanii mashoga ambao hupigania haki zao bila kificho ambapo RICKY MARTIN atapokea tuzo hiyo katika sherehe zitakazofanyika Jiji New York nchini Marekani mwezi ujao.
"