Adverts

Feb 2, 2011

SEMINA YA WABUNGE YAENDELEA UBUNGO PLAZA.

SEMINA YA WABUNGE YAENDELEA UBUNGO PLAZA.: "Kutoka kushoto ni Naibu Spika wa Bungena Mwenyekiti wa Semina Mhe. Job Ngugai (Mb), Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge Ndg. John Joel na Mkurugenzi Msaidizi – Shughuli za Bunge Ndg. James Waburg wakimsikiliza kwa makini Katibu wa Bunge. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano..."