Adverts

Feb 2, 2011

Waislam wataka DOWANS walipwe haki yao haraka.

Waislam wataka DOWANS walipwe haki yao haraka.: "Na Stella Aron na Anneth Kagenda, jijini SAKATA la ulipaji wa fidia ya Sh.bilioni 94 kwa kampuni ya DOWANS kwa kile kilichodaiwa ni kutokana na kukiuka mkataba,Taasisi ya Kutetea Haki za Waislam,imeibuka na kuishauri Serikali kuharakisha malipo hayo harakaiwezekanavyo kwani ni haki yao kisheria. Wakati..."