Adverts

Feb 2, 2011

SHINDANO LA UANDISHI KWA VIJANA SEKONDARI, BONGO

SHINDANO LA UANDISHI KWA VIJANA SEKONDARI, BONGO: "

Kwa vijana wanaolia

1. Hawana hela

2. Wala nafasi ya kujiendeleza…

Tovuti ya “Soma Cafe” imetangaza shindano ambalo mshindi wa kwanza atapewa shilingi milioni moja na mambo kibao mengine. Tuzo kwa washindi zaidi na fedha kem kem, pia zimo. Mwisho wa mashindano haya kwa wanafunzi wa sekondari ni 31 Desemba….2010. Mwezi mzima wa kufikiria, kutunga na kutuma.

Habari zaidi:

http://www.soma.or.tz/

"