Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!
Adverts
Feb 23, 2011
SHEHENA YA VIAZI IKIWA ENEO LA BLACK MARKET KUELEKEA SOKO LA ZAMBIA
S
hehena ya viazi ikiwa inasubiri wachuuzi eneo la Tunduma tayari kwa kuuzwa, kwa sehemu kubwa wanunuzi wa bidhaa hiyo ni kutoka upande wa Zambia ambao wamekuwa wakimiminika kutokana na bei ndogo ya viazi inayouzwa kwa gunia.Picha hii nimeichukua jioni hii nikiwa nafuatilia mambo flani pale Black Market ambalo ni soko linalotenganisha upande wa Zzambia na Tanzania, yaani sebule inakuwa Tanzania wkati Chumba kipo upande wa Zambia.
Newer Post
Older Post
Home