Ilikuwa kama sinema baada ya huyu kijana aliyeshika kiuno akiwa amekata tamaa, baada ya wataaluma wa kuingiza mikono mfukoni kumchoropoa kiwango kikubwa cha fedha katika eneo la Mtaa wa Kongo Tunduma ambako alikuwa akifanya shoping!!!!!!!!! nilimnasa dakika chache akiwa keshashughulikiwa!
Akagundua kuwa siyo yeye peke yake wapo wengi waliolizwa mjini, kwani dakika hizo hizo akapita kijana anayeonekana ameweka mikono kichwani akiwa naye keshalizwa mita chache kutoka alipo kinana huyo, ukawa msiba wa wengi harusi> Kaka Tunduma balaa hawalazi damu wanapiga ile ile