Hapa ndipo nguzo za mawasiliano zinavyoonekana pande mbili za mpaka wa Tunduma, ile nguzo ya kati kati ama Mnara wa kati kati upo upande wa Tanzania wakati unaoonekana kwa mbali ni upande wa Zambia-Nakonde
Haya majengo rangi ya kijana ndipo ofisi za idara mbalimbali za serikali ya Tanzania zilizopo mpakani zinamofanyia kazi zake wakati miti inayoonekana upande wa pili ni Zambia