Adverts

Feb 27, 2011

SIMU ZA MIKONONI ZISIVYO NA SIRI

Kuna uzuri na ubaya wa mawasiliano ya simu za mikononi kama vijana hawa walivyokutwa wakisikiliza simu moja jana eneo la Posta ,inasemekana kuwa aliyepiga simu amekuwa na kawaida ya kudanganya 'Hatupo pamoja wewe ongea kwa uhuru'
"