Adverts

Feb 9, 2011

Steve McClaren atimuliwa kazi Wolfsburg

Steve McClaren atimuliwa kazi Wolfsburg: "

Magazeti ya Uingereza yalivyosomeka siku kocha huyu alipezaoachishwa kibarua cha kuinoa timu ya Taifa ya Uingereza

Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza Steve McClaren, amefukuzwa kazi katika klabu ya soka ya Wolfsburg ya Ujerumani aliyokuwa akiifundisha ikiwa ni takriban miezi tisa toka akwae nafasi hiyo. Kocha huyo ambaye aliikwaa nafasi hiyo baada ya kuonyesha mafanikio makubwa akiwa na klabu ya Uholanzi ya FC Twente, ametimuliwa baada ya kushindwa kuleta mafanikio kama hayo kwa wajerumani hao.

Soma zaidi kwa kubofya hapa

"