Adverts

Feb 27, 2011

TAKUKURU yalia kukosa ushirikiano

"Na Happy Mollel, Mtwara TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imesema kukosemana kwa ushirikiano, ujasiri na uelewa mdogo wa wananchi juu ya sheria za udhibiti na kupambana na rushwa mkoani Mtwara unasababisha kesi nyingi za rushwa kushindwa kutolewa hukumu stahili. Kamanda wa..."