Adverts

Feb 24, 2011

Tetemeko la Ardhi New zealand

Njia ikiwa na mabaki ya kila kitu baada ya tetemeko,huko new zealand,Hii sehemu inanikumbusha Kitonga,Iringa njia ya dar Tunduma.
Inasikitisha sana na kuuzunisha jinsi watu walivyopoteza maisha na nyumba kubomoka ,kwa habari zaidi gonga hapa.
"