Adverts

Feb 8, 2011

Ugeni Kutoka Mbali!

Leo kibaruani kwao hapa Iringa tumepata ugeni kutoka Baraza la Taifa la Elimu ya Watu Wazima la nchini Sweden. Ni ujumbe wa watu wanne. Baada ya mazungumzo ya kikazi tuliwatembeza wageni kwenye kituo cha akina mama na watoto cha Matumaini Centre kilichopo eneo la Sabasaba , Iringa.
"