Ni UVOSI (UKOSEFU wa VOCHA SIMUNI).
Ugonjwa mbaya sana na dalili zake ni:
kubeep ovyo ovyo.
Tafadhali nipigie.
Kusambaziwa vocha na mizinga ya mfululizo ya nirushie vocha .
Kuangalia salio kila wakati mpaka dole gumba linaota sugu.
Kuzuia kitufe cha kukata simu hata kama wewe ndiyo unapigiwa.
MAUMIVU YAKIZIDI JIMUVUZISHE KWA MITANDAO NAFUU TAFADHALI.
"