(I) Huu ni uwongo kwa sababu katika jamii zingine za Kiafrika mrembo alitakiwa/anatakiwa awe hivi:
(2) Na katika jamii zingine mrembo alitakiwa/anatakiwa apambike hivi:
(3) Kwa wengine, mrembo ni lazima awe amenona kama hivi. Na kwa mwanamke wa Kiafrika, kunona hivi lilikuwa ni jambo jema!
(4) Au awe na umbo namba 8 kama hili:
(5) Wengine huwa hawajali umbo ali mradi kuwe na 'kitu' wakipendacho!
(6) NOECLEXIS - Waswahili walipatia waliposema kwamba 'mwanamke tabia'! Msikilize Dudubaya hapa chini akitetea Noeclexis!