Muuguzi kutoka kitengo cha Damu salama cha Taifa akimhudumia Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa (UN) Bw Alberic Kacou wakati akictoa damu kwa ajili ya ksaidia wahanga wa milipuko ya mabomu iliyotokea hivi karibuni katika kambi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ya Gongo la Mboto, wafanyakazi wa shirika hilo leo wamechangia damu kwa ajili ya wahanga hao leo.
Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini (UN) Bw. Alberic Kacou akiongea na wafanyakazi wa shirika hilo wakati alipokuwa akichangia damu kwa ajili ya wahanga wa milipuko ya Mabomu huko Gongo la Mboto iliyotokea hivi karibuni
"