Adverts

Feb 17, 2011

ZANTEL YATOA MSAADA WA KATONI 100 ZA MAJI KWA WALIOPATWA NA MAAFA YA MABOMU GONGOLAMBOTO

Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya simu Zantel wakishusha msaada walioutoa wa katoni 100 za maji Uwanja wa Uhuru kwa waasilika wa mabomu yaliyotokea kambi ya Jeshi Gongolamboto Dar es salaam Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya simu Zantel wakishusha msaada walioutoa wa katoni 100 za maji Uwanja wa Uhuru kwa waasilika wa mabomu yaliyotokea kambi ya Jeshi Gongolamboto Dar es salaam
"