Adverts

Feb 7, 2011

ZIARA YA MH. AMOS MAKALLA MKOANI KILIMANJARO

ZIARA YA MH. AMOS MAKALLA MKOANI KILIMANJARO: "
Akivishwa scaf baada ya kuwasili mkoani humo
Wanachama wakimshagilia kiongozi wao
Mh. Makalla akiwatunza wasanii mbali mbali
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC)ya CCM, Uchumi na Fedha,na Mlezi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla akihutubia
"