Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda Mb (wa pili kulia), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Bunge Mhe William Lukuvi, Profesa Kaigi Mb, na Mhe. Martha Kabati Mb (wa kwanza kushoto) wakipata maelezo ya ajali ya mlipuko wa mabomu katika kambi ya jeshi la wananchi ya Gongo la Mboto.