Mmiliki wa mtandao huu na mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima Iringa Bw.Francis Godwin akiwa juu ya gari kwa ajili ya kufanikisha kutuma matukio mbali mbali ya kata ya Madope wlaya ya Ludewa ambako kuna adha kubwa ya mawasiliano ya simu na mtandao umekuwa ukipatikana sehemu moja pekee ya mpakani wa Ludewa na Njombe pia ili kupata mawasiliano ya voda lazima upande juu ya mlima ,gari kama hivi ama katika mti
Viongozi mbali mbali wa wilaya ya Ludewa wakiongowakiozwa na kaimu mkurugenzi Bw.Dallu (kulia) wakisaka mawasiliano
mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akisaka mawasiliano mlima katika eneo la Madope kata ya mpakani mwa wilaya ya Njombe na Ludewa ,ili kupata mawasiliano katika eneo hilo lazima ufike eneo hilo umbali wa km kama tatu kutoka makao makuu ya kata hiyo,Rai ya mtandao huu makampuni ya simu kusogeza mawasiliano zaidi wilaya ya Ludewa,
"