Mratibu wa pambano Shomari Kimbau katikati akiwainuwa mikono juu Ashirafu Selemani kushoto na Awadhi Tamimu baada ya kupima leo
Ashirafu Selemani na Awadhi Tamimu wakionesheana mkwara
Ashirafu akipima Uzito
Awadhi Tamimu akipima uzito kushoto ni mpinzani wake Ashiraf Selemani
"