Mtaalamu Msaidizi na Rubani wa ndege za kijeshi katika Jeshi la China Plt. Gao, akimweleza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya
Kikwete matumizi ya kitaalam ya urushaji wa ndege ya kijeshi JW 9242 F 7 G kutoka China, wakati Rais alipotembelea kikosi cha Anga cha JWTZ Airwing jana Dar es salaam.(PICHA NA AMOUR NASSOR)
|