Watu Mbali Mbali wakingojea Dawa  
 Hapa watu wakijitayarisha kwenda kupata kikombe
Umati wa watu wakienda kupata kikombe eneo hilo la dawa 
 Bibi akitoa Dawa kwa wahitaji
Tayali foleni zimesha anza eneo hilo 
 Ni habari ambayo mtandao wa Mbeyayetu.blogspot  imetufikia Punde pande za Mabatini ambako ameibuka mtu anatoa dawa Bure na kama mnavyo ona hapo tukio zaidi baadae kidogo...endelea kuwepo
 
