Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN-Security Council) limepitisha azimio la kuchukua hatuwa zote ikiwamo kuzuia mashambulio ya ndege ktk anga la libya, kwa madai ya kuhakiki usalama wa raia na wananchi wa libya unalindwa. Wakati huo huo ufaransa imekuwa ikisisitiza kufanyike uvamizi wa kijeshi muda wowote pindi azimio hilo litakapo kiukwa kitu ambacho nchi za uchina na urusi imekipinga.
Swali; je malengo kamili ya azimio hili ni nin?
Source; bbc.co.uk
"