Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlHaj Dk Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa msikiti Masjid Taquwa, wa Dimani Bondeni katika wilaya ya Magharibi Unguja leo.
Rais wa Zanzibar, Dk. Shein akiwahutubia waumini baada ya kufungua msikiti huo (Picha kwa hisani ya Ofisi ya Rais Zanzibar)