Adverts

Mar 24, 2011

LAZIMA TUHAKIKI MAENEO YA UTALII TUNAYOYATANGAZA

 Mtaalamu wa Picha na masuala ya habari kwa umma kupitia kampuni ya Indaba Tours Information centre Bwana Mwakitwange Godfrey akiwa kwenye harakati za kwenda kurekodi moja ya pango lenye michoro ya kale katika kijiji cha Nkangamo wilayani Mbozi. Picha za vivutio vya utalii wilayani Mbozi na mkoa wa Mbeya kwa ujumla pia vitaanza kuwekwa katika blog dada ya mbeyayetu.blogspot.com
 endelea kufuatilia