Adverts

Mar 24, 2011

UNYAYO WA BINADAMU KWENYE JIWE -KIVUTIO KINGINE CHA UTALII MBOZI

Unyayo wa binadamu wa kale katika jiwe mojawapo maarufu kama mwala lililopo katika kijiji cha Nkangamo wilayani Mbozi ni fulsa mojawapo ya utalii ambapo watu wameanza kutembelea vivutio vya asili vilivyopo wilayani humo kupitia kampuni ya kuandaa safari hizi ya Indaba tours  Information Centre  iliyopo Tunduma na Vwawa wilayani Mbozi. wasiliana nasi kwa 0716515444, tutakufanyia maandalizi ya safari yako kwa raha mstarehe