Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!
Adverts
Mar 12, 2011
LEO NIMEYAPENDA MAUA HAYA
Nimeyaweka maua haya kama kumbukumbu ya tukio la mtoto wangu kuzaliwa mwaka juzi x mas day- nikiwa hospitalini nilipiga picha hizi wakati napata taarifa kuwa "umepata mtoto wa kiume" hebu fikiria nilikuwa na furaha ya namna gani