Taasisi hii inafanya kazi zake wilayani Mbozi na sasa ipo ukingoni katika kutekeleza mradi wa Ufuatiliaji wa raslimali zinazoelekezwa mashuleni na kuziimarisha kamati za shule ili ziweze kusimamia raslimali hizo.Inatafuta wadau wanaofanya kazi katika eneo la Utawala bora, UKIMWI na masuala ya Jinsia.