Adverts

Mar 12, 2011

LEO NINAFURAHA WASOMAJI WANGU!

Christian akionja mazingira ya nje ya hospitali na kuvuta hewa ya nje kwa mara ya kwanza katika hospitali ya Misheni ya Mbozi





Mama yake Christian akiingia kwenye gari kuelekea nyumbani baada ya kuruhusiwa hospitali ya Mbozi misheni. Hii ilikuwa  Dec 29,2009 aliyembeba mtoto ni Muuguzi ndugu yangu wa karibu Faraja aka Mama Leila alipotoa ushirikiano wa kiwango cha juu katika hatua hii