Adverts

Mar 3, 2011

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Terezya Huvisa akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Maadhimisho ya Saku ya Mazingira Afrika yanayoadhimishwa leo kulia Ofosa Mazingira Mkuu Bi Esther Makwaia kwenye ukumbi wa Mikutano Ofisini Mtaa wa Luthuli Dar es Salaam.[Picha na Ali Meja}
"