Adverts

Mar 2, 2011

MHANDISI ALIYESHAURI KUWEKWA TILES HIZI KWENYE ENEO LA KUPANDIA UKUMBINI NINA WASIWASI NAYE

 Hapa ukipona kumwaga radhi ushukuru mungu kwa jinsi Tiles hizi zinavyotereza!!! hasa akina mama anatakiwa awe na bukta ndani manake vinginevyo eneo hili hapiti hasa mvua ikinyesha!
Hili ndilo jengo la Canteen pamoja na ukumbi wa mikutano  kwaajili ya wafanyakazi wa hospitali ya Mkoa, jengo ambalo limejengwa vizuri lakini kwenye eneo la TILES za kuingilia kuna kasoro za msingi zinazoweza kusababisha ongezeko la walemavu kama siyo udhalilishaji hasa kwa wanawake na wazee!!!!! pamoja na nia njema ya kuwafanya walemavu wasipate shida katika kupita eneo lilo lakini ni kaaazi kufikia mlango wa ukumbi na viatu vyetu vya wachina labda uvue viatu uingie peku kwa jinsi panavyoteleza