Du Jamani wabongo ni wagumu wa kufuatilia mambo! hata kama wametahadaharishwa kwa maandishi makubwa kiwango gani, lakini wao hawana muda wa kusoma na kuangalia kama mahali walipo wako salama au vipi, kama unavyowaona watu hawa niliowakuta pale Wizara ya mambo ya nje wakiwa wamekaa kwenye kibao kinachuzuia watu kukaa hapo na kufanya biashara.
"