Adverts

Mar 8, 2011

SHIMO LENYE UREFU WA MILE 2000 HADI KWENYE ZIWA RUKWA

Mwanzo wa shimo lenye urefu wa mile 2000 katika eneo la Songwe wilayani mbozi, shimo hilo lilishatumbukizwa boza likaenda kutokea upande wa pili wa ziwa Rukwa dalili za kitaaalamu zinaonyesha kuwa ni shimo lilipita chini ya kwa chini hata chini ya ziwa Rukwa na baadaye kutokeza eneo la mwisho wa ziwa kwenye maji!!! haya yote ni maajabu ya utalii wilayani Mbozi