Adverts

Mar 8, 2011

UTAJIRI WA MBOZI AMBAO BADO HAUJATUMIKA VYEMA

Udongo unaotumika kitengeneza saruji ya Pozzolana hupatikana katika wilaya ya Mbozi pekee mkoani Mbeya, hapa ni mitambo ya kiwanda cha saruji ya Mbeya ikiwa katika hatua ya kuukusanya tayari kupakizwa kwaajili ya kutengeneza saruji, je wilaya inanufaikaje na raslimali hizi?