Wawezeshaji wa mafunzo ya waratibu wa wilaya wa mradi wa Uwezo unaolenga kufanya utafiti katika ngazi ya kijiji na kaya kubaini uwezo wa watoto waliofikia umri wa kwenda shule miaka 5 hadi 16 kwa kufanya tathmini kwenye wilaya 133 za Tanzania bara na hatimaye kuwasilisha matokeo kwaajili ya kusaidia maamuzi. Maeneo yanayopimwa ni uwezo wa watoto katika Kusoma, kuandika pamoja na hesabu.Program hii inatekelezwa na mradi wa UWEZO kupitia Mtandao wa elimu Tanzania TEN MET