Hata nyumbani tungekuwa na utaratibu kama huu ingekuwa vizuri nadhani hata afya za watu zisingekuwa zinayumba! watu wanaruka mpangilio wa ratiba hizi eti kwa sababu wapo busy!!! busy kwa nani, unatafuta pesa kwaajili ya nini, na unamnufaisha nani badala ya kujali afya yao?