Adverts

Mar 1, 2011

Wana Afrika Mashariki Warejea Nyumbani Kutoka Tripoli

Watu 151 raia kutoka Kenya, Tanzania , Uganda, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Lesotho wamewasili nchini Kenya wakitokea Libya, kukimbia machafuko. Soma zaidi: http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2011/02/110228_kenya_libya.shtml
"